fukufuku
Tunafukua nEwS
Pages
(Move to ...)
Nyumbani
H/KIMATAIFA
▼
2015-04-10
Dimpozi: Nje nafuata fedha, mzimu wangu upo bongo
›
MSANII wa bongo fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, ameweka wazi kwamba huwa anakwenda katika maonyesho nchi za nje kwa sababu ya fedha, si...
Breaking News!!! Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
›
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima …Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi wataka...
KADJA: KWA MAISHA HAYA MUME WA NINI?
›
Staa kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’. STAA kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanza...
ALA KICHAPO TAKATIFU KISA MUME WA MTU
›
Jamila akiwa na jeraha usoni kwa tuhuma zakutembea na mume wa mtu. Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Jamila mkazi wa Kawe jijini Da...
Aliyekuwa Mke wa Mh Mbunge Sugu, Faiza Ally Atangaza Mtandaoni Kuwa Ana Hamu ya Kufanya Mapenzi......Kazi Kwenu Wanaume
›
Mrembo asiyeishiwa vituko, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ ametoa kali baada ya kusema kuw...
Zitto Kabwe Asema Kitendo Cha kuitwa MSALITI Ni Mbinu Zinazotumika Kumuua Mwanasiasa wa Upinzani
›
Kiongozi wa chama cha ACT-Tanzania,Zitto Kabwe amesema kuitwa msaliti ni mbinu zinazotumika 'kumuua' mwanasiasa wa upi...
Askari wa JKT Auawa Wakati Akisaidiana na Polisi Kuyakabili Majambazi Yaliyokuwa Yamepora Fedha Iringa
›
Watu wawili akiwemo jambazi mmoja na askari mwanafunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamekufa na wengine kunusurika kuuawa katika tuki...
Diwani wa CHADEMA Apewa Adhabu ya Kufua Shuka za Wagonjwa Hospitalini na Kuzibua Mitaro ya Barabarani
›
Diwani wa Kata ya Kasanda wilayani Kakonko, Dickson Barutwa (40) wa Chadema na wenzake watatu, wamehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kib...
Huyu Ndo Mtanzania Anayetuhumiwa Kwa Ugaidi Kenya.....Jana Alifikishwa Mahakamani Chini Ya Ulinzi Mkali
›
Mtanzania anayedaiwa kuhusika katika shambulizi la kigaidi lililoua watu 148 katika Chuo Kikuu cha Garissa – Kenya, Rashid Charles Mbere...
Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Arusha Akanusha Kukamatwa Kwa Mwanaume Mwenye Mabomu Na Watu Wanne Wenye Bunduki
›
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatusi Sabas amekanusha uvumi ulioenea katika mitandao ya jamii kuhusu kukamatwa mwanaume mmoja ali...
Picha: Hali Ya Mgomo Ilivyo Eneo La Stendi Ya Ubungo Jijini Dar es Salaam
›
Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. a Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo ...
Sakata la Gwajima: Polisi Wamhoji Kwa Masaa Matano..... Atakiwa Kurudi Polisi Wiki Ijayo na Hati ya Usajili wa Kanisa Lake,Helkopta na Viwanja Anavyomiliki
›
Askofu wa Kanisa la Ufufua na Uzima Josephat Gwajima amelitikisa tena Jiji la Dar es Salaam jana mara baada kuwasili makao makuu...
GWAJIMA AWAACHA WAUMINI WAKE NJIA PANDA
›
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewaacha waumini wake...
SAJENT; ETI SASA VIMINI PEMBENI, SWALA NA YEYE!
›
Mwanadada muigizaji Husna Idd ‘Sajent’. Kama kawa, kama dawa leo kupitia safu hii tunaye mwanadada muigizaji Husna Idd ‘Sajent’. Wengi...
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
›
Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego na Shamsa Ford wakipozi kimahaba. Penzi matata linalowanyima usingizi baadhi ya watu mjini kwa sa...
›
Home
View web version