fukufuku

Tunafukua nEwS

Pages

▼

2014-11-26

BAADA YA BIFU LA MDA MREFU DIAMOND PLATNUMZ ATOA OFFER YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF

      
  Diamond platnumz na Q chillah

Mwaka 2012 kuliiuka na beef kati ya q chillah na diamond platnumz, na ilikua inaonekana kuwa Chillah ndiye mwenye tatizo na diamond kwa sababu kabla Diamond alikua anamtaja chilla kama moja kati ya wasanii waliomu inspire kuingia ndani ya game ya bongo flava, lakini baadae Q chief akaanza kumtuhumu diamond kuwa anampiga mitishamba na kuchukua nyota yake.

Inataka kujua beef hiyo imeisha vipi?
Unknown at 16:06
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.

Contributors

  • Unknown
  • Unknown
  • Unknown