Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba .
kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz.
Kupitia kipindi cha Sporah kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef […] Bongo5
No comments:
Post a Comment