Pages

2014-12-12

Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda

  Screen Shot 2014-05-19 at 8.14.04 AM
       diamond na ommy dimpoz
Mastaa wa Tanzania Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, 
 
nyimbo zao zimetajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards (HMA2015) za Uganda zinazotarajiwa kutolewa mwakani. ‘Number One’ (original) ya Diamond na ‘Ndagushima’ ya Dimpoz zinachuana 
 Screen Shot 2014-05-19 at 8.13.34 AM
na nyimbo zingine za Afrika Mashariki kwenye kipengele kimoja cha East Africa Super Hit. Nyimbo za [
 

No comments:

Post a Comment