Pages

2014-12-15

HALI HALISI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI MWANZA ULIVYOKUWA JANA



Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mbugani wakiwa wamemaliza kupiga kura.
 
 na kusogea umbali wa kilometa 100 unaotakiwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi huo hapa jijini Mwanza jana. 
Mama aliyefahamika kwa jina la Gelda Nathaeli wa Kata ya Mbugani akiwa anapiga kura ya kumchagua kiongozi anayemtaka katika uchaguzi…

No comments:

Post a Comment