Wapiganaji wa lililokuwa kundi la waasi Msumbiji Renamo wakipokea mafunzo Novemba 8, 2012 katika milima ya Gorongosa. Picha/AFP Aliyekuwa kamanda wa waasi nchini Msumbiji amesema yuko tayari kuondoka kichakani kwa mazungumzo na serikali baada ya uhasama wao kuchangia ghasia mbaya mwaka huu.
No comments:
Post a Comment