Pages

2014-12-14

Lulu afunguka kiivi kwa aslay. Jisomee mwenyewe


Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo, ni mtu ambae nipo focused, ni mtu ambae nina matarajio makubwa, mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo na Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.


No comments:

Post a Comment