Pages

2014-12-30

MAAJABU HAYO;KAKAKUONA ALIYEONEKANA LEO KIGAMBONI,JIJINI DAR



Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana leo maeneo ya Kigamboni,jijini Dar, 
 

alikunywa maji mengi sana kufuatia mvua iliyonyesha leo,akafuata unga na pesa,aliepuka panga na kisu.
Watabiri wa mambo wanasema tutarajie mema mwakani.

No comments:

Post a Comment