Mambo mazuri tanzania Watanzania kunufaika na ajira Qatar - Pinda Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania
watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira, ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni. habarileo
No comments:
Post a Comment