Pages

2014-12-22

Mambo ndio hayo; Simu feki za mamilioni zateketezwa Mwanza

TUME ya Ushindani imefanya operesheni na kukamata bidhaa za bandia, zikiwemo simu za mkononi 327 aina ya Samsung.
 
 na nyembe aina ya Gillete, zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 kisha kuviteketeza jijini hapa.

No comments:

Post a Comment