Pages

2014-12-12

NI BALAA;JOKATE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MAPENZI YAKE KWA JANUARI, ZITTO NA MILLARD



                                JOKATE
Leo kwenye safu hii tunaye mwanadada ambaye anaendesha maisha yake kwa kazi mbalimbali zikiwemo uigizaji, muziki, uanamitindo, ujasiriamali na utangazaji.
 Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo akipozi. Huyu ni Jokate Mwegelo ambaye ni Miss Tanzania namba 2, 2006.
 Wiki hii yuko hapa kujibu maswali 10 ambayo mwandishi wetu Hamida Hassan alimuuliza na akatoa ushirikiano katika kuyajibu. Ijumaa: Kuna madai kwamba sasa hivi unatoka kimapenzi na mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo, hili… 
 

No comments:

Post a Comment