Pages

2014-12-17

NI KITIMTIM:WAZIRI HAWA GHASIA AWATIMUA WAKURUGENZI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) 
                       
leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 
GPL

No comments:

Post a Comment