Pages

2015-01-02

NI HATARI SANA:DIAMOND PLATNUM NA ZARI NDIO HABARI YA MJINI WAKIWA RWANDA KWENYE VIBE PARTY


 
Staa Diamond Platnumz ambaye jana alikuwa akipiga show kali pale nchin Rwanda akiwa na mpenzi wake Zari the Boss Lady na kwa mujibu wa mashabiki wa Uganda wanasema wanaona kama Zari Hassan ndie mwanamke wa maisha ya Diamond Platinumz kutokana na yeyekujali sana kazi za mpenzi wake ambapo wamekuwa wakisafiri kila mara licha ya kwamba Zari anabishara zake lakin yuko Radhi kuziacha na kumpa Company mpenzi wake, Zari ambaye amempita Diamond kwa miaka kama 15 lakin siku zote umri ni namba tu kibwa ni Penzi acha Ubuyu uendeelee



Chini hapo ni picha za show ilivyokuwepo ndani ya ukumbi wa Vibe party
&nbsp

No comments:

Post a Comment