Pages

2015-02-04

Flora Mbasha mwimbaji wa Gospel, Ajifungua Mtoto. Comment kwa kumpa hongera hapa

Habari tulizozipata kupitia mitandaoni ni kuwa Mwanamuziki Flora Mbasha Amejifungua mtoto , Bado hatujaweza kujua ni mtoto gani, Picha akiwa Hospitali na zingine zikimuonyesha mtoto hizi Hapa:




Hongera Sana Flora Mbasha

Comment kwa kumpa hongera hapo chini

No comments:

Post a Comment