Pages

2015-02-02

KILICHO MKUTA FRANCIS CHEKA APELEKWA JELA MIAKA MITATU


BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana.

Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment