Pages

2015-02-02

NI BALAAA!!!!!!!!!!!!! POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua utata kwa mashabiki. 


                                               Zari.

Zari ambaye bado yupo Bongo katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi.

Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man. 

Zifuatazo ni baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki kuhusu post hiyo:

No comments:

Post a Comment