Pages

2015-03-07

LIPUMBA, MBATIA NA MWIGULU WAKIFANYA YAO..........ona jinsi wakiwa wanateta




Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba (kushoto), Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, James Mbatia (katikati) na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba (kulia) wakicheka kwa pamoja jana katika uzinduzi wa Kituo cha Runinga cha Azam kilichopo maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam. 

Wakiteta jambo.

No comments:

Post a Comment