Pages

2015-03-07

Mboni Masimba wa The Mboni Show Ajifungua Mtoto wa Kiume...............bofya hapa kwa kumpa pongezi

Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume.

Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na mtaa wa pili wanavyoinadi mimba ya wifi wa taifa na angalau sasa walimwengu watapunguza kuongea maneno yao ya kukera nafsi.


Hongera sana Mboni Masimba.Mola akukuzie Inshaalah.

No comments:

Post a Comment