Msomaji Salim Kubo (kulia) akikabidhiwa fedha alizojipatia na Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi, Hashim Aziz kwenye ofisi za gazeti hilo, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam leo Jumatatu.
Kubo akihesabu mkwanja wake. Ili kujipatia zawadi kama msomaji huyu, nunua nakala yako ya Gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi kila Ijumaa na ukikuta stika maalum, basi ujue wewe ndiye uliyejipatia, fuata maelekezo ili kupata zawadi yako.
Msomaji wa gazeti jipya la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi linaloingia mitaani kila siku ya Ijumaa, Salim Kubo amebahatika kujipatia shilingi laki mbili ‘cash’ baada ya kukuta stika maalum ndani ya gazeti hilo na kufuata maelekezo.
GPL


No comments:
Post a Comment