PICHA:DIAMOND NA ZARI NI KWELI WAMEFUNGA NDOA?..........ona video ya noa yao kwa kubofya hapa
hii ni miongoni mwa picha ambayo imezagaa sana kwenye mitandao tofauti ya kijamii ikionyesha
kama ishara ya wadau kuwataka mastaa hao wawili wafunge ndoa, but ukweli ni kwamba hiyo picha ni ya utani tu ambayo imekuwa imeandaliwa na mashabiki wa team diamond na team zari the bosslady...hivyo hazina ukweli wowote
No comments:
Post a Comment