Pages

2015-03-18

Rapper Fid Q apewa tuzo ya `CHAMPION na umoja wa Nchi za Ulaya EU

 
Umoja wa nchi za ulaya EU wampa tuzo Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ya CHAMPION of the 2015 Europe Year for Development in Tanzania ,Pia Fid Q alifunguka kwenye Amplifaya ya Cloudsfm nakusema amefarijika sana kupata Tuzo hiyo kwani itampa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii zaidi
Pia Fid Q alisema amepata Tuzo hiyo kutokana na kujitolea kusaidia vijana katika jamii ili waache miadarati na japo kuwa darasa kwa sasa limefungwa ila anampango wa kulifungua tena upya darasa hilo

No comments:

Post a Comment