Pages

2015-03-05

TOYOTA RAV 4 YAVAMIA MTARO JIJINI ARUSHA


Muonekano wa gari aina ya Toyota RAV 4 yenye namba za usajili T 380 CVF baada yakuacha njia na kuingia katika mtaro jana jioni Arusha mjini. 



Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari hiyo kuingia katika mtaro 

No comments:

Post a Comment