2014-10-27

SAD NEWS: GARI LATEKETEA KWA MOTO AFRICANA MBUYUNI DAR NA KUUWA WATU. ONA VIDEO HAPA

Umati wa watu wakishuhudia Gari la Kikosi cha Zimamoto na askari wa kikosi hicho wakijitahidi kuzima moto eneo ya tukio.
 
Gari aina ya Allteza imepata ajali hapa Africana karibu na Mbuyuni, imewaka moto na inasemekana hakuna mtu aliyetoka kwani lilijikita kwenye mtaro na kulipuka!

Katika ajali hiyo imedaiwa kuwa ndani ya gari hilo dogo kulikuwa na watu watatu ambao wameungua na kuwa majivu!

ANGALIA VIDEO YA TUKIO HILO

GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...