2014-11-09

SAD NEWS: MWIMBAJI TWANGA PEPETA AMIGO AFARIKI

 
Mwimbaji wa zamani kutoka Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Khamis Kayumbu maarufu kama ‘Amigolas’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwenye hospital ya taifa muhimbili alikokuwa akitibiwa.



Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo kwa sasa msiba uko nyumbani kwa mama mzazi wa marehemu Mburahati Dar es Salaam jirani na Shule ya Msingi Mianzini na taratibu za mazishi zinasubiri ndugu na jamaa kutoka Tabora na Kigoma.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...