Inasikitishwa sana na tabia ya mwanadada huyu ambayo wananchi walio wengi wanaichukulia ni kama laana kutoka kwa Muumba.
Tunaungana na vyombo vyote ambavyo vina piga vita tabia chafu kama hizi na inatoa ahadi kupambana kufa kupona kuhakikisha tabia kama hizi zinakoma katika jamii yetu ya Kitanzania.
0 comments:
Post a Comment