Skip to content
Staa wa filamu za ''Comedy'',Kitale ''Mkude Simba''anatarajia kufanya uzinduzi wa filamu ya mwisho aliyoifanya na aliyekuwa msanii mwenzake wa filamu hizo marehemu,Ramadhani Mkieti ''Sharo Millionea'' iitwayo Safra Hasara.
Kupitia mtandao wa Instagram Kitale aliandika .....Hii ndio movie ya mwisho kucheza na mdogo wng rafiki yng ndugu yng SHARO MILIONEA Hii karibuni itakuwa mtaani USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO .
.
0 comments:
Post a Comment