huyu ndiye mgonjwa aliyemuua mwenzake wodini
Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru,Arusha.
MAAJABU! Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku katika wodi ya majeruhi baada ya mtuhumiwa huyo kuzua tafrani kwa kutaka kupiga wenzake, hali iliyosababisha wagonjwa mbalimbali kutimua mbio na kujificha kuokoa maisha yao na kumuacha marehemu ambaye alikuwa hajiwezi akiwa amelala kitandani.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa, Hashimu ambaye bado amelazwa katika wodi hiyo akiwa amefungwa pingu mkononi, chini ya ulinzi wa polisi, alieleza kuwa mnamo muda huo mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya kumaliza kuswali.
‘’Kabla ya kuanza swala mtuhumiwa huyo alimuomba kijana aliyekuwa akimuuguza ampeleke kujisaidia,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini.Aliongeza kuwa baada ya kurejea alipiga magoti na kuanza kuswali chini ya kitanda alichokuwa amelazwa na baadaye alipomaliza aliwaamuru wagonjwa wenzake wazime taa.
HUYU NDIYE YULE MGONJWA ALIYEMUUA MWENZAKE WODINI
Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa
ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel
(28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake
aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia
dripu.Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa
mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya
Mount Meru,Arusha.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku
katika wodi ya majeruhi baada ya mtuhumiwa huyo kuzua tafrani kwa kutaka
kupiga wenzake, hali iliyosababisha wagonjwa mbalimbali kutimua mbio na
kujificha kuokoa maisha yao na kumuacha marehemu ambaye alikuwa
hajiwezi akiwa amelala kitandani.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa, Hashimu ambaye bado
amelazwa katika wodi hiyo akiwa amefungwa pingu mkononi, chini ya ulinzi
wa polisi, alieleza kuwa mnamo muda huo mtuhumiwa alitenda kosa hilo
baada ya kumaliza kuswali.
‘’Kabla ya kuanza swala mtuhumiwa huyo alimuomba kijana aliyekuwa
akimuuguza ampeleke kujisaidia,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka
jina lake kuandikwa gazetini.
Aliongeza kuwa baada ya kurejea alipiga magoti na kuanza kuswali chini
ya kitanda alichokuwa amelazwa na baadaye alipomaliza aliwaamuru
wagonjwa wenzake wazime taa.
“Baada ya taa hizo za wodini kuzimwa mtuhumiwa alisikika
akisema kwa sauti kubwa kuwa leo anataka kuua mtu huku akivurugavuruga
vitu kwenye vitanda vya wagonjwa kikiwemo cha kwake na kupiga kelele kwa
sauti kubwa, hali iliyowafanya wagonjwa wengine kutimua mbio. Hata
hivyo, wakati vurugu hizo zikiendelea muuguzi wa zamu alitoa taarifa kwa
kupiga simu kituo cha polisi mjini kati.
Wakati askari polisi wakisubiriwa mtuhumiwa aliendelea na vurugu na
kuchukua chuma cha kutundikia drip na kuivunja kisha kwenda kumpiga
kichwani marehemu aliyekuwa amelala pekee kwenye wodi hiyo akiuguza mguu
wake wa kulia na alifariki dunia papo hapo.
Polisi walipofika walikuta ameshaua na alikamatwa na kuchomwa sindano ya
dawa ya usingizi, ndipo akadhibitiwa.Mganga mkuu wa hospitali hiyo,
Josian Mlay alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa
mtuhumiwa huyo hakuwa na matatizo yoyote ya akili. Kamanda wa Polisi
mkoani Arusha, SACP Liberatus Sabas alikiri kutokea kwa tukio hilo
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
HUYU NDIYE YULE MGONJWA
ALIYEMUUA MWENZAKE WODINI

Posted by Sophia Mbeyu at 15:39
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
No comments:
Post a Comment
Links to this post
Create a Link
Newer Post Older Post Home
Translate
Powered by Translate
PLACE YOUR ADS HERE
PLACE YOUR ADS HERE
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI
About Me
My Photo
Sophia Mbeyu
View my complete profile
Blog Archive
Popular Posts
MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2014 YAMETOKA, INGIA HUMU KUONA
DK. CHARLES E. MSOND E AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MAPEMA
HII LEO OFISINI KWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE
...
MITINDO YA VITENGE KWA WANAWAKE NA WANAUME...
KAMA INAVYYONYESHA PICHA! VAZI LAKITENGE LAWEZA KUTUMIWA KAMA VAZI
LA OFISI AMA CASUAL SIO LAZIMA KITENGE KIWE N...
MITINDO YA VITENGE KWA AKINA DADA NA WATOTO..
MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE, VIATU NA HANDBAG ZA KITENGE....
MITINDO YA VITENGE,VIATU, MIKUFU KWA AJILI YA SHEREHE MAALUM!
MITINDO YA VITENGE
HII NI SKIRT ILIYOSHONWA KWA KITENGE! KAMA TULIVYOONA SASA HIVI
VITENGE SIYO TU MAGAUNI HATA SKIRT, SURUALI NA E.T.C... AKINA B...
NAFASI MPYA ZA KAZI SERIKALINI {SHIRIKA LA UTAFITI NA MAENDELEO YA
VIWANDA TANZANIA}
Tanzania Industrial Research and Development Organization EMPLOYMENT
OPPORTUNITIES TIRDO invites qualified Tanzanians to fill the followi...
MITINDO BOMBA YA VITENGE!
Huhitaji nguo za majina kupendeza, kitu cha kitenge tosha kabisa
kukutoa bomba!
MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE.....
MITINDO YA VITENGE
Mitindo ya Vitenge inaweza kushonwa katika dizain mbalimbali, hii
inaonyesha mitindo kwa vijana ni katika kuonyesha kuwa kitenge si lazima
...
Labels
African day 2008 may
AMUUA BABA YAKE KUMUOKOA SHANGAZI YAKE ALIYEKUWA ANABAKWA-
NACHINGWEA
ARIEL SHARON AFARIKI
ASEMA YADHOOFISHA UCHUMI AFRIKA
aswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar:Rais wa
Comoro Awasili Zanzibar Kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya
Mapinduzi
BAADA YA BASI KUGONGA NA KUUA WATATU
BABA NA MWANA JAY-Z NA MWANAE BLUE IVY..
Biza mupulu artist
Biza mupulu Botswana
BREAKING NEWS: FIFA YAHAMISHA MUDA WA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022 HUKO
QATAR
HABARI ZA KIMATAIFA/ WAUMINI WAUAWA MSIKITINI NCHINI NIGERIA
HABARI ZA UMBEYA/. WAKATI WEMA AKITUMA VIDEO YA DIAMOND AKIWA
KITANDANI
HAKUNA KAMA MWANAMKE
HAPO NAPO SASA
IGP ATANGAZA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI.
IJUMAA NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG....
IMETANGAZWA RASMI KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO KUSHEHEREKEA MAPINDUZI:
Kundi la FM Academia
KUTWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NJE YA AFRIKA
Machael Jackson kuaga dunia
MADAWA YA KULEVYA YAINGIZWA SUPERMARKET KATIKA MAKASHA YA NDIZI
MAGAZETI YA LEO IJUMAA 10 JANUARY 2014
Magonjwa ya mlipuko yanukia jijini Dar
MAN UNITED YAZINDUKA
Mariam bongo
MAWAZIRI WAPYA WATANO WATAJWA TANZANIA
MITINDO YA NYWELE
MITINDO YA VITENGE
MKAPA AIPONDA MISAADA KUTOKA NJE
MSIKIE JOKATE AKIONGELEA MUZIKI NA FILAMU.......
Mwekezaji abomoa nyumba za wananchi wa Mkuyuni-Morogoro ili kupisha
ujenzi wa Majosho.11 jan mgogoro
Nondoz wa Bongo waliokamilisha kisomo chao Data India.
Pablo Machine Familia dar
Pablo Machine na watoto
Pablo Machine na wakenya kwenye festival
Pablo Machine Sabiti
PENNY NAE ANENA "HAITATOKEA KAMWE NIKAMDHARAU DIAMOND
PICHA ZA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA SILAHA ZA KIVITA
KATAVI
PICTURE OF THE DAY..KWA RAHA ZAO
Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Aendelea Kutunuku Nishani
Rihanna out in Barbados
RWANDA YAKANUSHA UVUMI KUHUSU KIFO CHA KAGAME
SABABU YA KIFO CHA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA
TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
LEO 12/01/2014
UNAKANDAMIZA ...
VAZI LA LEO
Wa Bongo
WAFANYABIASHARA WA DAR WAGOMEA MASHINE ZA KODI ZA TRA
WAFUNGA MADUKA LEO
Wakali bongo hawo
WANANCHI WALITEKETEZA BASI KWA MOTO
WAZIRI KIGODA : MFUMO MASHINE EFDs NI MBOVU
WEEKEND NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG....NAWAPENDAAA MINGIIII.
WEMA NI MAMA KIJACHO? SOMA ALICHOANDIKA HAPO
Wizara ya maliasili na utalii imewasimamisha kazi watumishi wake 22
wa idara ya wanyama pori
YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY
Yatima Dar walilia madarasa yakujisomea
PLACE YOUR ADS HERE
PLACE YOUR ADS HERE
powered by
Slideshow
Sikiliza clouds radio
SIKILIZA KWANZA JAMII RADIO
Followers
Google+ Followers
Total visitors
Total Pageviews
Sparkline 1247065
CLOCK & CALENDAR
buy research paper custom essay writing answering service care
December 2014
S M T W T F S
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30 31
Free Counter
Counter Free
PLACE YOUR ADS HERE
PLACE YOUR ADS HERE
WEBSITES & BLOGS
MICHUZI
JIACHIE
BONGOBLOGS
TanzMED
Wavuti
Allyshams
Myummah76
Francis Godwin
Globalpublishers
Full Shangwe
Ladyjaydee
Swahili TV
TMF
Haki Ngowi
Mimi na Tanzania
Mo Blog
Chadema Blog
CCM Blog
January Makamba
Zitto kabwe
Habari Leo
Daily News
Mwananchi
Mtanzania
Tanzania Daima
Raia Mwema
Majira
Mwanaspoti
The Citizen
Daraja Letu
IPP Media
Bashir Nkoromo
BBC Swahili
Sauti ya Amerika
Jamii Forums
BLOG DEVELOPMENT
BLOG DEVELOPMENT
AUDIO BAR
SIKILIZA BRAND NEW TRACK HAPA!!
VIDEO BAR
UNATAKA KUPUNGUA UZITO!!
CLICK THIS IMAGE
Contact Form
Name
Email *
Message *
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI
UNAHITAJI KUPUNGUA UZITO
WEIGHT MANAGEMENT
UNAHITAJI KIKAPU
UNAHITAJI KIKAPU
SANDALS
SANDALS
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
No comments:
Post a Comment