2014-12-03

MAAJABU ARUSHA! MGONJWA AMUUA MWENZAKE WODINI!


        huyu ndiye mgonjwa aliyemuua mwenzake wodini

Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru,Arusha.

MAAJABU! Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.

Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku katika wodi ya majeruhi baada ya mtuhumiwa huyo kuzua tafrani kwa kutaka kupiga wenzake, hali iliyosababisha wagonjwa mbalimbali kutimua mbio na kujificha kuokoa maisha yao na kumuacha marehemu ambaye alikuwa hajiwezi akiwa amelala kitandani.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa, Hashimu ambaye bado amelazwa katika wodi hiyo akiwa amefungwa pingu mkononi, chini ya ulinzi wa polisi, alieleza kuwa mnamo muda huo mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya kumaliza kuswali.

‘’Kabla ya kuanza swala mtuhumiwa huyo alimuomba kijana aliyekuwa akimuuguza ampeleke kujisaidia,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini.Aliongeza kuwa baada ya kurejea alipiga magoti na kuanza kuswali chini ya kitanda alichokuwa amelazwa na baadaye alipomaliza aliwaamuru wagonjwa wenzake wazime taa.
HUYU NDIYE YULE MGONJWA ALIYEMUUA MWENZAKE WODINI Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru,Arusha. Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku katika wodi ya majeruhi baada ya mtuhumiwa huyo kuzua tafrani kwa kutaka kupiga wenzake, hali iliyosababisha wagonjwa mbalimbali kutimua mbio na kujificha kuokoa maisha yao na kumuacha marehemu ambaye alikuwa hajiwezi akiwa amelala kitandani. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa, Hashimu ambaye bado amelazwa katika wodi hiyo akiwa amefungwa pingu mkononi, chini ya ulinzi wa polisi, alieleza kuwa mnamo muda huo mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya kumaliza kuswali. ‘’Kabla ya kuanza swala mtuhumiwa huyo alimuomba kijana aliyekuwa akimuuguza ampeleke kujisaidia,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini. Aliongeza kuwa baada ya kurejea alipiga magoti na kuanza kuswali chini ya kitanda alichokuwa amelazwa na baadaye alipomaliza aliwaamuru wagonjwa wenzake wazime taa. “Baada ya taa hizo za wodini kuzimwa mtuhumiwa alisikika akisema kwa sauti kubwa kuwa leo anataka kuua mtu huku akivurugavuruga vitu kwenye vitanda vya wagonjwa kikiwemo cha kwake na kupiga kelele kwa sauti kubwa, hali iliyowafanya wagonjwa wengine kutimua mbio. Hata hivyo, wakati vurugu hizo zikiendelea muuguzi wa zamu alitoa taarifa kwa kupiga simu kituo cha polisi mjini kati. Wakati askari polisi wakisubiriwa mtuhumiwa aliendelea na vurugu na kuchukua chuma cha kutundikia drip na kuivunja kisha kwenda kumpiga kichwani marehemu aliyekuwa amelala pekee kwenye wodi hiyo akiuguza mguu wake wa kulia na alifariki dunia papo hapo. Polisi walipofika walikuta ameshaua na alikamatwa na kuchomwa sindano ya dawa ya usingizi, ndipo akadhibitiwa.Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Josian Mlay alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mtuhumiwa huyo hakuwa na matatizo yoyote ya akili. Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, SACP Liberatus Sabas alikiri kutokea kwa tukio hilo

Make Money at : http://bit.ly/copy_win
HUYU NDIYE YULE MGONJWA ALIYEMUUA MWENZAKE WODINI Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru,Arusha. Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku katika wodi ya majeruhi baada ya mtuhumiwa huyo kuzua tafrani kwa kutaka kupiga wenzake, hali iliyosababisha wagonjwa mbalimbali kutimua mbio na kujificha kuokoa maisha yao na kumuacha marehemu ambaye alikuwa hajiwezi akiwa amelala kitandani. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa, Hashimu ambaye bado amelazwa katika wodi hiyo akiwa amefungwa pingu mkononi, chini ya ulinzi wa polisi, alieleza kuwa mnamo muda huo mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya kumaliza kuswali. ‘’Kabla ya kuanza swala mtuhumiwa huyo alimuomba kijana aliyekuwa akimuuguza ampeleke kujisaidia,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini. Aliongeza kuwa baada ya kurejea alipiga magoti na kuanza kuswali chini ya kitanda alichokuwa amelazwa na baadaye alipomaliza aliwaamuru wagonjwa wenzake wazime taa. “Baada ya taa hizo za wodini kuzimwa mtuhumiwa alisikika akisema kwa sauti kubwa kuwa leo anataka kuua mtu huku akivurugavuruga vitu kwenye vitanda vya wagonjwa kikiwemo cha kwake na kupiga kelele kwa sauti kubwa, hali iliyowafanya wagonjwa wengine kutimua mbio. Hata hivyo, wakati vurugu hizo zikiendelea muuguzi wa zamu alitoa taarifa kwa kupiga simu kituo cha polisi mjini kati. Wakati askari polisi wakisubiriwa mtuhumiwa aliendelea na vurugu na kuchukua chuma cha kutundikia drip na kuivunja kisha kwenda kumpiga kichwani marehemu aliyekuwa amelala pekee kwenye wodi hiyo akiuguza mguu wake wa kulia na alifariki dunia papo hapo. Polisi walipofika walikuta ameshaua na alikamatwa na kuchomwa sindano ya dawa ya usingizi, ndipo akadhibitiwa.Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Josian Mlay alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mtuhumiwa huyo hakuwa na matatizo yoyote ya akili. Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, SACP Liberatus Sabas alikiri kutokea kwa tukio hilo Posted by Sophia Mbeyu at 15:39 Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest No comments: Post a Comment Links to this post Create a Link Newer Post Older Post Home Translate Powered by Translate PLACE YOUR ADS HERE PLACE YOUR ADS HERE TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI About Me My Photo Sophia Mbeyu View my complete profile Blog Archive Popular Posts MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2014 YAMETOKA, INGIA HUMU KUONA DK. CHARLES E. MSOND E AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MAPEMA HII LEO OFISINI KWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE ... MITINDO YA VITENGE KWA WANAWAKE NA WANAUME... KAMA INAVYYONYESHA PICHA! VAZI LAKITENGE LAWEZA KUTUMIWA KAMA VAZI LA OFISI AMA CASUAL SIO LAZIMA KITENGE KIWE N... MITINDO YA VITENGE KWA AKINA DADA NA WATOTO.. MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE, VIATU NA HANDBAG ZA KITENGE.... MITINDO YA VITENGE,VIATU, MIKUFU KWA AJILI YA SHEREHE MAALUM! MITINDO YA VITENGE HII NI SKIRT ILIYOSHONWA KWA KITENGE! KAMA TULIVYOONA SASA HIVI VITENGE SIYO TU MAGAUNI HATA SKIRT, SURUALI NA E.T.C... AKINA B... NAFASI MPYA ZA KAZI SERIKALINI {SHIRIKA LA UTAFITI NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA} Tanzania Industrial Research and Development Organization EMPLOYMENT OPPORTUNITIES TIRDO invites qualified Tanzanians to fill the followi... MITINDO BOMBA YA VITENGE! Huhitaji nguo za majina kupendeza, kitu cha kitenge tosha kabisa kukutoa bomba! MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE..... MITINDO YA VITENGE Mitindo ya Vitenge inaweza kushonwa katika dizain mbalimbali, hii inaonyesha mitindo kwa vijana ni katika kuonyesha kuwa kitenge si lazima ... Labels African day 2008 may AMUUA BABA YAKE KUMUOKOA SHANGAZI YAKE ALIYEKUWA ANABAKWA- NACHINGWEA ARIEL SHARON AFARIKI ASEMA YADHOOFISHA UCHUMI AFRIKA aswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar:Rais wa Comoro Awasili Zanzibar Kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi BAADA YA BASI KUGONGA NA KUUA WATATU BABA NA MWANA JAY-Z NA MWANAE BLUE IVY.. Biza mupulu artist Biza mupulu Botswana BREAKING NEWS: FIFA YAHAMISHA MUDA WA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022 HUKO QATAR HABARI ZA KIMATAIFA/ WAUMINI WAUAWA MSIKITINI NCHINI NIGERIA HABARI ZA UMBEYA/. WAKATI WEMA AKITUMA VIDEO YA DIAMOND AKIWA KITANDANI HAKUNA KAMA MWANAMKE HAPO NAPO SASA IGP ATANGAZA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI. IJUMAA NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG.... IMETANGAZWA RASMI KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO KUSHEHEREKEA MAPINDUZI: Kundi la FM Academia KUTWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NJE YA AFRIKA Machael Jackson kuaga dunia MADAWA YA KULEVYA YAINGIZWA SUPERMARKET KATIKA MAKASHA YA NDIZI MAGAZETI YA LEO IJUMAA 10 JANUARY 2014 Magonjwa ya mlipuko yanukia jijini Dar MAN UNITED YAZINDUKA Mariam bongo MAWAZIRI WAPYA WATANO WATAJWA TANZANIA MITINDO YA NYWELE MITINDO YA VITENGE MKAPA AIPONDA MISAADA KUTOKA NJE MSIKIE JOKATE AKIONGELEA MUZIKI NA FILAMU....... Mwekezaji abomoa nyumba za wananchi wa Mkuyuni-Morogoro ili kupisha ujenzi wa Majosho.11 jan mgogoro Nondoz wa Bongo waliokamilisha kisomo chao Data India. Pablo Machine Familia dar Pablo Machine na watoto Pablo Machine na wakenya kwenye festival Pablo Machine Sabiti PENNY NAE ANENA "HAITATOKEA KAMWE NIKAMDHARAU DIAMOND PICHA ZA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA SILAHA ZA KIVITA KATAVI PICTURE OF THE DAY..KWA RAHA ZAO Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Aendelea Kutunuku Nishani Rihanna out in Barbados RWANDA YAKANUSHA UVUMI KUHUSU KIFO CHA KAGAME SABABU YA KIFO CHA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO 12/01/2014 UNAKANDAMIZA ... VAZI LA LEO Wa Bongo WAFANYABIASHARA WA DAR WAGOMEA MASHINE ZA KODI ZA TRA WAFUNGA MADUKA LEO Wakali bongo hawo WANANCHI WALITEKETEZA BASI KWA MOTO WAZIRI KIGODA : MFUMO MASHINE EFDs NI MBOVU WEEKEND NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG....NAWAPENDAAA MINGIIII. WEMA NI MAMA KIJACHO? SOMA ALICHOANDIKA HAPO Wizara ya maliasili na utalii imewasimamisha kazi watumishi wake 22 wa idara ya wanyama pori YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY Yatima Dar walilia madarasa yakujisomea PLACE YOUR ADS HERE PLACE YOUR ADS HERE powered by Slideshow Sikiliza clouds radio SIKILIZA KWANZA JAMII RADIO Followers Google+ Followers Total visitors Total Pageviews Sparkline 1247065 CLOCK & CALENDAR buy research paper custom essay writing answering service care December 2014 S M T W T F S 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 Free Counter Counter Free PLACE YOUR ADS HERE PLACE YOUR ADS HERE WEBSITES & BLOGS MICHUZI JIACHIE BONGOBLOGS TanzMED Wavuti Allyshams Myummah76 Francis Godwin Globalpublishers Full Shangwe Ladyjaydee Swahili TV TMF Haki Ngowi Mimi na Tanzania Mo Blog Chadema Blog CCM Blog January Makamba Zitto kabwe Habari Leo Daily News Mwananchi Mtanzania Tanzania Daima Raia Mwema Majira Mwanaspoti The Citizen Daraja Letu IPP Media Bashir Nkoromo BBC Swahili Sauti ya Amerika Jamii Forums BLOG DEVELOPMENT BLOG DEVELOPMENT AUDIO BAR SIKILIZA BRAND NEW TRACK HAPA!! VIDEO BAR UNATAKA KUPUNGUA UZITO!! CLICK THIS IMAGE Contact Form Name Email * Message * TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI UNAHITAJI KUPUNGUA UZITO WEIGHT MANAGEMENT UNAHITAJI KIKAPU UNAHITAJI KIKAPU SANDALS SANDALS

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...