
Mbali na kundi la wafuasi wa Sheikh Ponda kutoka mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro waliojazana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro leo asubuhi kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili kiongozi wao huyo wakiwa na matumani kuwa huenda Sheikh wao angepatiwa dhamana na kumpokea kishujaa yamekwama tena baada ya taarifa hizo.
Kesi hiyo imepigwa kalenda mpaka Januari 5, mwakani itakapotajwa tena.
0 comments:
Post a Comment