
Uhali gani mpenzi msomaji wangu! Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu uko poa na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.
Bila shaka msomaji wangu utakuwa unaelewa vizuri nikizungumzia mapenzi ya siri.
Inawezekana umewahi kuwa katika aina hii ya uhusiano, umewahi kusikia au kushuhudia watu wawili wanaopendana, wakiendesha uhusiano wao kwa siri kubwa.
Je, kwa nini kuna baadhi ya watu hupenda kuishi kwenye uhusiano wa siri? Hiyo ndiyo mada ambayo ningependa tuijadili leo hapa kwenye busati letu la mahaba.
Najua wapo wengi ambao wapo kwenye uhusiano wa siri na wanazo sababu zinazowafanya waishi kwenye aina…
0 comments:
Post a Comment