2014-12-02

Man Utd, Arsenal, Chelsea kuwasha moto upya England

London, England. Ligi Kuu England inaendelea leo kwa mechi kadhaa ingawa haiwezi kubadili msimamo wa ligi hiyo, hasa kwenye nafasi za juu.

Hilo linatokana na pointi ilizo nazo Chelsea kileleni ambazo haziwezi kukaribiwa na klabu nyinginezo, ikiwamo Man United, ambayo baada ya kuanza msimu vibaya imekuwa ikifanya vyema katika mechi zake za karibuni, kama itaishinda Stoke.

Baada ya kuilaza Hull City kwa mabao 3-0, Jumamosi, Man United inapigana kikumbo kuzikaribia Man City na Southampton ambazo hazichezi hadi kesho, dhidi ya Sunderland na Arsenal.

Mchezo mwingine unaosubiriwa kwa hamu ni baina ya Leicester na Liverpool.

Ratiba ya leo, Jumanne: Mechi zote saa 4:45 usiku

Burnley v Newcastle:

Leicester City v Liverpool

Man United v Stoke

Swansea City v QPR

Crystal Palace v Aston Villa

West Brom v West Ham
 
Jumatano: Mechi zote saa 4:45 usiku
 
 
mwananchi.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...