MVUA ILIYONYESHA BAGAMOYO YASABABISHA MAFURIKO 10:42 Unknown H/KITAIFA No comments Sehemu ya kituo cha mabasi Bagamoyo kikiwa kimejaa maji. Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi ya mabasi ya Bagamoyo chanzo GPL. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment