2014-12-19

UKWELI NI HUU; IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete .
 
 Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
 Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa. 
 
Taarifa sahii ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda…

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...