2014-12-12

WAKATI DIAMOND AKIMTESA NA ZALI, WEMA AJIBU MAPIGO



                    wema alipa kisasi
  Habari ya mjini! Gumzo katika ulimwengu wa mastaa Bongo.

ni kitendo cha mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuendelea kujiachia na staa wa mrembo mwenye maskani yake nchini Uganda na Afrika Kusini ‘Sauz’, msanii Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ 
 
huku aliyekuwa ‘kiburudisho’ wa jamaa huyo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akijibu mapigo kwa kumnasa mwigizaji Joseph Van Vicker wa Ghana, Ijumaa lina sarakasi nzima. Wema Isaac Sepetu…

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...