Tangu
mwaka 1965, Tanzania imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri na kutwaa
medali katika mashindano hayo kupitia kwenye michezo ya ngumi na riadha
na mwaka 2011 timu ya Taifa ya netiboli iliyoshiriki kwa mara ya kwanza
ilitwaa medali ya fedha.
Tanzania itashiriki kwa mara ya 11 kwenye michezo ya Mataifa ya Afrika (All African Games) nchini Congo Brazzaville baadaye mwaka huu.
Kwa mara ya kwanza, ilishiriki kwenye michezo hiyo mwaka 1965 ikiwa ni miaka minne baada ya kupata uhuru , 1961.
Tangu mwaka 1965, Tanzania imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri na kutwaa medali katika mashindano hayo kupitia kwenye michezo ya ngumi na riadha na mwaka 2011 timu ya Taifa ya netiboli iliyoshiriki kwa mara ya kwanza ilitwaa medali ya fedha.

Wakati Taifa likijiandaa kushiriki kwenye michezo ya Afrika ya Septemba nchini Congo Brazzaville, Spoti Mikiki iliwatafuta wanamichezo waliong’ara huko nyuma na kutwaa medali kwenye michezo hiyo tangu mwaka 1965 ili kujua wanafanya nini sasa.
Theresia Dismas
Theresia Dismas ndiye mwanamichezo wa kwanza wa Tanzania kuleta medali kwenye michezo ya Afrika, Yeye, alishinda medali ya fedha ya kurusha mkuki baada ya kuurusha kwa umbali wa mita 40.24, michezo hiyo ilifanyika Congo Brazzaville.
Hivi sasa, Theresia yuko Kenya anakoishi baada ya kuolewa na raia wa nchi hiyo, kabla ya kwenda huko Theresia alikuwa akiishi Marekani na mumewe ambaye kwa sasa ni marehemu.
Titus Simba, 1973 nchini Nigeria
Bondia Titus Simba alitwaa medali ya shaba kwenye uzani wa kati na mwanariadha Filbert Bayi alishinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 1,500 kwenye michezo ya Afrika ya 1973 iliyofanyika Lagos, Nigeria.
Simba, tayari amefariki dunia na Bayi yuko Mkuza, Kibaha ambako anafanya biashara ya shule, lakini pia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Riadha (RT) na mjumbe wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Riadha la Dunia (IAAF).
“Medali ile ilikuwa ahadi yangu kwa rais wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere ambaye mwaka mmoja nyuma tulimuahidi kufanya vizuri kwenye michezo ile baada ya kushindwa kufanya hivyo 1972.

0 comments:
Post a Comment