2015-01-09

JK amuapisha msajili mahakama ya rufani, Katarina Revocati


Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha, Katarina Revocati (Kulia), kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 8, 2015



Rais akimkabidhi Katiba

Rais akimpongeza

Majaji wakibadilishana mawazo

Majaji wakibadilishana mawazo
Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman (Kulia), akizungumza na Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Asha Rose Migiro wakatiwa hafla hiyo ya kumuapisha Katarina

Rais akisalimianana Jaji Mkuu Mohammed Chande Othman

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalum), Profesa Mark Mwandosya, (Wapili kushoto), akiwa na majaji kwenye hafla hiyo

picha ya pamoja

Rais na familia ya Katarina Revocati

Rais katika picha ya pamoja kutoka kushoto, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu, Mohammed Chande Othman, Msajili wa Mahakama ya Rufani, Katarina Revocati, Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Asha Rose Migiro, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...