
Jakaya Kikwete juu ya kukirejesha kiwanda cha Chai cha Mponde kwa wananchi , Awali kiwanda hicho kilikuwa kinamilikiwa na Mwekezaji Yusuf Mulla na kilifungwa kutokana na mgogoro wa wakulima wa Chai na mwekezaji huyo . Rais Jakaya Kikwete amechukua uamuzi huo baada ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahman Kinana kusikiliza kero hiyo ya wananchi wakati alipofanya ziara ya mkoa wa Tanga
na kuahidi kufuatilia ili kuhakikisha suluhisho la kudumu linapatikana na wakulima hao wanapata haki yao. Mgogoro huo umedumu kwa muda wa miaka kumi na kiwanda hicho kimefungwa kwa muda wa miezi ishirini kabla ya Rais Jakaya Kikwete kufikia uamuzi wa kukirejesha kwa wananchi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BUMBULI-LUSHOTO)
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili katika eneo la mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Mponde katika jimbo la Bumbuli wilayani Lushoto.
















0 comments:
Post a Comment