WASANII wa filamu nchini, Peter Luse, Mzee Magali na Stanley Msungu wamezindua filamu ya kidini inayotambulika kwa jina la Behind The Pastors.
Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Princess Hall, Sinza-Mapambano, jijini Dar, ambapo mtunzi wa filamu hiyo alisema madhumuni ya kuandaa filamu hiyo ni kubainisha changamoto wanazokutana nazo watumishi wa Mungu kama visa, ugomvi wa madhabahuni na ushirikina.
0 comments:
Post a Comment