Kiogozi wa kanisa Katoliki Duniani
Akizungumza mbele ya umati mkubwa katika bustani ya St. Peters, papa Francis aliendelea kusema kuwa ni jamii yenye uzuni ambayo inaweza kufikiri kwamba watoto ni mzigo ama hata ni hatari.
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani alisikika akisema: ''Jamii yenye ulafi ambayo haitaki kuwa na watoto, ambayo inasema kwamba watoto wanachosha ni mzigo na hatari ni jamii yenye uzuni''.
0 comments:
Post a Comment