Kivazi alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram.
Mrembo
huyo mwenye mvuto wa pekee alitupia picha hiyo jana katika akaunti yake
ya Instagram ambapo alitupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get
em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am
soleeeee!' aliandika Lulu.
Baadhi
ya mashabiki wake walihoji kulikoni baada ya kuona dizaini kama tumbo
limeongezaeka wakiuliza kama ana mimba au la japo wengi wao wamemsifia
mrembo huyo kwa katokelezea.
0 comments:
Post a Comment