2015-03-20

HIVI INAWEZEKA KUJUA KAMA BOY WAKO WA KWANZA NI BIKRA AU LA, KOZ NIPO NA HUYU MKAKA ANAKILA DALILI HAJAWAHI LALA NA MWANAMKE



Mambo mengi yamesemwa kuhusiana na bikira kwa wanawake.Tumekua tuki tukiambiwa na kufundishwa jinsi ya 
 
kumtambua mwanamke mwenye birika na bikira.Ningependa pia kujua ni vipi wadada watajua kama mwanaume ni bikira ausio.Ni mambo gani na tabia zipi zinazoelezea bikira yake ili tuthibitishe kua ni bikira au la ?

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...