Pages

2015-03-09

Huu ndio muonekano wa kuvunjika daraja la KINYEREZI jijini DAR




Daraja linalounganisha Kinyerezi na Majumba Sita jijini Dar es Salaam likiwa limevunjika tena baada ya kudaiwa kupita lori lililokuwa limebeba zege. 
Daraja hilo lilivunjika pia Juni mwaka jana baada ya lori lililokuwa limebeba kontena kupita eneo hilo.
GPL

No comments:

Post a Comment