Skip to content
Wachezaji wa Simba SC, wakijifua ndani ya Uwanja wa Chuo cha Kislamu Jukwani mjini Zanzibar, kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Machi 8 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi yao ndani ya Uwanja wa Jukwani mjini Zanzibar.
Moja ya Busi aina ya Toyota Coastal linalotumiwa na timu hiyo likitoka kuwachukua kwenye mazoezi yao yaliyofanyika jana jioni kwenye Uwanja wa Chuo cha Kislamu Jukwani mjini Zanzibar.
Kocha Mkuu wa Simba SC. Goran Kopunovic akiwa na chupa yha maji muda mfupi baada ya kuhitimisha shughuli za mazoezi hayo.
0 comments:
Post a Comment