Mti wangu kila ninapotaka kula matunda na kupata kimvuli / Chakula yangu kila nisikiapo njaa Doctor wangu kila ninaposikia maumivu / Fundi gereg wangu Kila gari langu la chini linapotaka
kumwaga Oil / mama Yangu kila ninapotaka kudeka wewe Ndo mshika mali zote za mwanangu na wewe Ndo mweka #Azina wangu kwenye kila Karatasi yenye Faida au maslahi Apa Dunian Nimeridhika nWe #Jioni Njema na najuwa Wazuri wako wengi lakini wanakuzidi kwenye Macho yangu Tu kwenye Moyo wewe ni No 1 na sifuli inhekuwa number
0 comments:
Post a Comment