2015-03-12

MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA..............ya mungu mengiiiiiiiiiiii

 
Mwanamke mmoja mkazi wa manispaa ya Shinyanga amejifungua mtoto wa ajabu wa kike asiyekuwa na mdomo wala pua huku masikio yake yakiwa shingoni katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga. 



Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Mfaume Salum amesema mtoto huyo alizaliwa jana saa moja asubuhi na alifariki muda mfupi baadaye kutokana na kasoro alizokuwa nazo. 



Mwandishi wa habari hii amefuatilia kwa ukaribu zaidi habari hii,Tutawaletea habari kamili hivi punde,ikiwemo sababu za kuzaliwa kwa watoto wa namna hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...