
Mchekeshiaji Clive Greenaway akiwa ameshikiria tuzo yake
Mchekeshaji Clive Greenaway amevunja rekodi ya dunia baada ya kutoa vituko vya utani 26 kwa sekunde 60.
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 57 angeendelea kuwachekesha wasikilizaji wake kama utani huo usingekuwa unahesabiwa.
Lengo la mchekeshaji huyo ilikuwa ni kufikisha vituko vya utani 28 lakini kwa vituko vyake 26 vimemtosha kuweka rekodi ya dunia yakuwa mchekeshaji aliyetumia muda mchache kutoa vituko vingi duniani.
0 comments:
Post a Comment