Pages

2015-03-11

Pambano la Simba na Yanga lasimamisha shughuli za kimaendeleo Singida



Pambano la watani wa jadi kati ya Yanga na Simba zote za jijini Dar-es-saalam lasimamisha shughuli mbalimbali mjini Singida kwa wakazi wake kujazana kwenye kumbi zilizokuwa zikionyesha mchezo huo ‘Live’ kupitia TV.
 Juzi jioni kosta mbili zilizokuwa zimejaza hasa wapenzi wa Simba wakiongozwa na mpenzi mkubwa wa timu hiyo Singida mkoani hapa, Mhandisi Max Kaaya kwenda jijini Dar-es-salaam 
kushuhudia mpambano huo ambao katika siku za hivi karibuni umekuwa gumzo kubwa kila kona ya nchi.(Picha zote na Nathaniel Limu).





No comments:

Post a Comment