
Jana ukumbi wa baraza la Kaunti ya Nakuru Kenya umegeuka kuwa uwanja wa ngumi baada ya Wabunge kupigana kutokana na kuwepo kwa mvutano kati ya Wabunge wanaomuunga mkono Spika Susan Kihika aliyefukuzwa hivi karibuni na Wabunge wengine kumtaka Naibu Spika Samuel Tunui aendeleze vikao vya Bunge leo, huku Naibu Spika huyo akidai kushambuliwa na wahuni waliokodishwa na Spika.
No comments:
Post a Comment