Polisi wakiwaokoa wachezaji Ivory Coast Baada Ya kuvamiwa Uwanjani 10:24 Unknown H/KIMATAIFA, SANAA NA MICHEZO No comments Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment