2014-12-09

Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara

Umoja wa Wafanyabiashara Tanzania umeiomba Serikali kuboresha mfumo wa utozaji kodi kwa kutumia Mashine za Kieletroniki za Malipo. 
(EFD) kwa kuwa makato wanayokatwa hayalingani na thamani ya ununuzi wa bidhaa husika. Mwananchi 
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...